Rema na Selena Gomez wajipata Spotify

Rema na Selena Gomez wajipata Spotify

Baada ya wimbo wa Calm down remix kutoka kwa Rema na Selena Gomez kufanya maajabu ya kuwa na wasikilizaji na watazamani wengi, huku ukibeba tuzo ya MTV hatimaye mtandao wa Spotify haujafanya uchoyo wa fadhira umeamua kutoa shukurani kwa ma-fans wote kwa kuufanya wimbo huo kuwa mkubwa zaidi.

Rema kupitia InstaStory yake ame-share baadhi ya mabango hayo yaliyowekwa na Spotify katika nchi mbalimbali kama vile Nigeria, Canada na London. Mabango hayo ambalo hameandikwa maneno yasemayo,

“Rema’s calm down (with Selena Gomez) is the newest member of the billions club, thank you all the fans”.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags