Rema kutangaza bidhaa za Jordan

Rema kutangaza bidhaa za Jordan

Msanii kutoka nchini Nigeria, Rema ala shavu kufanya kazi pamoja na mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu na mfanyabiashara Michael Jordan kwenye tangazo la bidhaa za michezo za Jordan (Jumpman 23).

Mkali huyo wa Afrobeats, sio mgeni kwenye mchezo wa mpira wa kikapu, kwani aliwahi kufanya show kwenye nusu fainali ya NBA All-Star mwaka huu pamoja naTems na Burna Boy.

Nyota wengine waliopitiwa na upepo huo wenye faida ni pamoja na Luka Doncic, Teyana Taylor, Ryota Brown, Zion Williamson na Jayson Tatum.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags