Rayvanny ajiita Michael Jackson wa Afrika

Rayvanny ajiita Michael Jackson wa Afrika


Mwanamuziki wa #BongoFleva, #Rayvanny maarufu Chui amejiita Michael Jackson wa Afrika Mashariki baada ya mapokezi makubwa aliyoyapata alivyotua nchini Burundi kwa ajili ya kufanya show nchini humo.

Leo kupitia ukurasa wake wa Instagram Chui ame -post video iliyomuonyesha akipokelewa na mashabiki nchini humo na kuandika ujumbe uliyosomeka "East African Michael Jackson!!! Love made in BURUNDI"


Hata hivyo msanii huyo ameendelea kupata aina ya mapokezi kama hayo kipindi anapotua katika nchi mbalimbali za Afrika kwa ajili ya matamasha yake yamuziki.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags