Raya: Usimuache mume kisa kakusaliti

Raya: Usimuache mume kisa kakusaliti

Wakati wengine wakijiweka kando baada ya kusalitiwa na wanaume zao kwa upande wa mke wa Barnaba Classic iko tofauti, kupitia Instastory ameshusha ujumbe akiwashauri wanawake waliyo kwenye ndoa wasiachane na waume wao kwa sababu ya kusalitiwa.

Ujumbe huo ukielezaa..
“Nawashauri wadada mlioko kwenye ndoa usimuache mumeo kisa ameku-cheat kwa sababu hakuna mwanaume ambae ha-cheat kwenye hii dunia hajawahi kuumbwa wala kutokea”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags