Rasmus kukosa ‘Mechi’ kadhaa

Rasmus kukosa ‘Mechi’ kadhaa

Mchezaji aliyetambulishwa hivi karibuni na ‘klabu’ ya Manchester United, #RasmusHojlund amepata majeraha mgongoni na inadaiwa tatizo lake ni kubwa ambalo litapelekea kuwa nje ya uwanja. Lakini kwa upande wa ‘klabu’ yake bado haijaweka wazi kuwa mchezaji huyo atakaa nje kwa muda gani.

Mchezaji huyo aliyesajiliwa Agosti 5, 2023 kwa Pauni 72 Milioni sawa na Tsh 226 Bilioni aligundulika kuwa na majeraha wakati wa vipimo vya MRI.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags