Ramadhani Brothers washika nafasi ya tano AGT

Ramadhani Brothers washika nafasi ya tano AGT

Wanasarakasi kutoka nchini Tanzania Ramadhani Brothers wameshindwa kutwaa ‘taji’ la mashindano maarufu dunia ya America’s got talent baada ya kushika nafasi ya tano katika kinyang’anyiro hicho huku mshindi akiwa ni Adrian Stoica and Hurricane.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Ramadhan Brother wametoa taarifa hiyo kuwa wameshika nafasi ya 5 huku wakiwashukuru watu wote walijitolea kuwapigia kura na kuwashukuru AGT kwa kuwapa nafasi.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags