Rama Dee: muziki ndiyo unatuunganisha na Lady Jaydee siyo mapenzi

Rama Dee: muziki ndiyo unatuunganisha na Lady Jaydee siyo mapenzi

Mwanamuziki  #RamaDee amefunguka ukaribu wake na mwanamuziki mkongwe Lady Jaydee kutokana na baadhi ya watu kudai kuwa huwenda wawili hao wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi kutokana na ukaribu wao.

Akiwa katika Interview na moja ya chombo cha habari msanii huyo amedai kuwa yeye na Lady Jaydee hawapo kwenye mahusiano ya kimapenzi ila kinacho unganisha ukaribu wao ni muziki hakuna kingine.

Hata hivyo Rama Dee amesema kuwa watu wanaoendelea kuongea kuwa wao ni wapenzi basi waendelee kuongea kwa sababu huwezi ukawazuia watu wasiongee, kwani  kila kitu kinakuwa katika mipango ya Mungu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post