Prisons kuondoka na kitita cha 25 milioni  wakiichapa Simba leo

Prisons kuondoka na kitita cha 25 milioni wakiichapa Simba leo

‘Ligi’ kuu ya NBC inaendelea kwa makali makubwa msimu huu huku ikionekana motisha kubwa kwa ‘timu’ zote zinazo fuzu mashindano hayo.

Uongozi wa ‘klabu’ ya #TanzaniaPrisons kwa kushirikiana na baadhi ya wadau umetoa motisha katika ‘timu’ yao katika ‘mechi’ inayotarajiwa kufanyika leo dhidi ya Wekundu wa Msimbazi #SimbaSc.

Inadaiwa katika kikao kilichofanyika kati ya viongozi na wadau wa ‘timu’ hiyo wametoa ahadi ya sh 25 milioni kwa wachezaji endapo watapata ushindi dhidi ya Simba mchezo utakanyika katika uwanja wa Sokoine.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags