Polisi wakiri kumuua Mwandishi wa habari wa Pakistan

Polisi wakiri kumuua Mwandishi wa habari wa Pakistan

Hii imetokea huko nchini Kenya ambapo kupitia taarifa ya  Jeshi hilo limeahidi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua zinazostahili kwa wahusika waliompiga risasi Arshad Shariff.

Arshad Shariff ni Mwandishi wa habari kutoka nchini Pakistan ambaye alipigwa risasi kichwani baada ya Maafisa kudai kumfananisha na Majambazi waliokuwa wakiwatafuta kwa madai ya kuiba Gari Jijini Nairobi.

Hata hivyo, Waziri Mkuu wa Pakistan, Shehbaz Sharif, alimpigia Simu Rais William Ruto  akitaka Haki na uwazi viwepo katika sakata hilo






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags