Platform, Mimi ni kaka yao

Platform, Mimi ni kaka yao

Oooooyeeeah! Mambo vipi wanangu wa mwananchiscoop leo bwana katika gumzo mitandaoni   msanii wa kizazi kipya  kufunguka na kueleza kuwa yeye ndio kaka yao katika muziki huu wa kizazi kipya, aliasema hayo kupitia mahojiano na chombo cha habari kilichopo hapa nchini na kueleza haya.

“Katika mziki huu wa kizazi kipya mimi ndio kaka yao sio kama najisifia hata wewe ukitazama kwenye dash body sijahit kwa ngoma moja bali kila ninayo itoa ni kigongo, nimewainsper sana na kuwaaminisha kama nasisi tunaweza tukasimama, nimewazidi vitu vingi sana” amesema Platform

Sitii neno mie haya watu wangu wa nguvu wa  mwananchiscooop je unakubaliana na msanii huyo? Ndondosha komenti yako hapo chini usisahau kulike na kushare.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags