Penzi la Justin Bieber na Hailey bado lina nguvu

Penzi la Justin Bieber na Hailey bado lina nguvu

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Justin Bieber amethibitisha kuwa mapenzi yake na Hailey hayajafa, huku akiamua kujitoa kumsaidia mpenzi wake katika kazi zake za sanaa.

Kwa mujibu wa TMZ mwezi uliopita Justin aliweza mtumia Hailey zawadi na kiasi cha fedha dolla 5000 kwa ajili ya ku-support sanaa ya mwanamitindo huyo kama ishara kudumisha upendo wao.

Hata hivyo wapenzi hao siku za hivi karibuni walionekana mtaani wakiwa wameshikana mikono wakitoka kwenye moja ya mgahawa nchini Mrekani.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags