Otile  kuzama bongo kisa Abby Chams

Otile kuzama bongo kisa Abby Chams

Aisee kutoka kwa +254 Msanii Otile Brown ameonesha kuvutiwa na uimbaji wa msanii Abby Chams hadi kutaka kufunga safari kuja bongo Tz kwa ajili ya kukutana na msanii huyo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ndani ya Insta story yake Otile amepost Video ya Abby akiimba na kuandika maneno haya.

“Abby Chams Mashallah coming to Tanzania anytime Inshallah hopn to meet you queen "

Baada ya kuposti ujumbe hua bwana Abby Chams naye akaamua kumjibu Otile Brown  kwa kushukuru na kumwambia kuwa yupo tayari kumpokea Airport.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags