Ommy Dimpoz: Mimi ndio mtanzania wa kwanza kupiga picha na Ronaldo

Ommy Dimpoz: Mimi ndio mtanzania wa kwanza kupiga picha na Ronaldo

Ebwanaaa! Weeee! Watu wanavimba tena wanavimba haswaa, basi bwana msanii wa bongo fleva nchini Tanzania anatamba sana kupitia mitandao ya kijamii kwa kuwa wa kwanza kupiga picha na mchezaji maarufu wa nje Cristiano Ronaldo.

Ommy ameweka wazi kupitia mtandao wake wa kijamii baada ya kuposti picha akiwa na wachezaji wote wa timu hiyo huku akisema kuwa “mimi ndo mtanzania wa kwanza kualikwa rasmi na klabu ya Manchester United na ni mtanzania wa kwanza kupiga picha na Cristiano Ronaldo na wachezaji wote kama yupo wa kubisha aje hapa” amesema Ommy dimpoz

 

Alooooooh! Haya haya mliowahi kupiga picha na Ronaldo embu tuoneshe mtu wangu wa nguvu na wewe ututambie.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags