Ommy Dimpoz kuachia kichupa kipya

Ommy Dimpoz kuachia kichupa kipya

Baada ya ukimya wa muda mrefu msanii wa muziki, Ommy Dimpoz ametangaza kuachia wimbo wake mpya wa kwanza kutoka kwenye album yake ambayo huenda ikatoka siku za hivi karibuni.

Ommy ameposti katika IG yake video akieleza juu ya wimbo wake huko na kusindika kaujumbe kwamba atauachia Ijumaa hii ya Marchi 18, 2022.

“Ni mimi kijana wengu ninayofuraha sana kwa sababu Ijumaa hii nitaachia mpoja ya ngoma yangu mpya hivyo tukutane katika mitandao yote Ijumaa hii Marchi 18, 2022,” alisema Ommy.

Basi sawa ngoja na sisi tusubilie hicho kichupa kipya cha Ommy je kitatoboa na kuwa moja ya hits songs this year, ngoja tusubiri Ijumaa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags