Nyimbo sita za Beyonce, Jay-z amehusika

Nyimbo sita za Beyonce, Jay-z amehusika

Wiki iliyopita mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Beyonce aliachia albumu yake mpya ya ‘Cowboy Carter’ ambayo imepokelewa kwa ukubwa na mashabiki huku ikitajwa kuwa ndiyo album bora ya mwaka 2024.

Hata hivyo imeripotiwa kuwa nyimbo sita kutoka kwenye albumu hiyo zimeandikwa na mumewe Jay-Z, nyimbo hizo ambazo ni ‘Amerikan Reguiem’, ‘Daughter’, ‘Spaghetii, Levii’s Jeans’, ‘YaYa’ na ‘Sweet’.

Hii itakuwa albamu ya nane kwa Queen Bey ukiwa ni mwendelezo wa albamu ya #Renaissance (Act I) ya mwaka 2022.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags