Nlechoppa azichapa na shabiki wa NBA

Nlechoppa Azichapa Na Shabiki Wa NBA

Unaambiwa haikua siku nzuri kwa Rapa NleChoppa baada ya kuingia kwenye ugomvi na shabiki wa NBA Young boy Airpot.

Taarifa zinaeleza sababu ya ugomvi huo inasemekana kuwa ni baada ya NleChoppa kufanya moja ya interview  hivi kaeribuni  na kusema kwamba hapo awali NBA Young boy alikuwa mmoja kati ya wasanii wake anaowakubali zaidi lakini Kutokana na Ngoma yake mpya "Bring The Hook" aliyowa-Diss O'Block na Marehemu King Von(OTF) ameamua kumkataa.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Janeth Jovin

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on business, money management on Tuesday and health on Thursday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include KARIA and FASHION.


Latest Post