Nikkwapili avunja ukimya

Nikkwapili avunja ukimya

Baada ya ukimya wa muda mrefu wa  Mh. Nickson John maarufu kama @nikkiwapili bila kuachia ngoma, hatimaye sasa amerejea kitofauti.

Nikki ameachia wimbo  aliyoupa jina la #Blessing, ndani kamshirikisha mwanaye Zuri, Chin Bees,

 Chinbela na Mwaisa Mtumbad.

 Wakati wasanii wengine wakishindana kuimba Amapiano yeye akaamua kuja na miondoko ya Rap Gosper.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nikkwapili ame-share kipande cha wimbo wake huo akikisindikiza na ujumbe usemao,

“Matatizo yapo ili tuzihesabu baraka nashukuru Mungu #Blessing”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags