Nikk wa pili: kwenye kusikiliza kuna cha kujifunza

Nikk wa pili: kwenye kusikiliza kuna cha kujifunza

Yes ! kutoka kwenye ukurasa wa twitter wa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe aandika ujumbe huu hapa.

"Kwenye kuskiliza kipo kipya cha kujifunza ukiwa mskilizaji mara nyingi utajifunza vingi wanasema amini anayezungumza anafahamu usicho fahamu skiliza uongeze kufahamu"

Ebwana dondosha comment yako hapo kupitia website yetu www.mwananchiscoop.co.tz kuhusiana na kauli hiyo je unaizungumziaje?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags