Nigeria, DRC, Ivory Coast nani kuchukua taji la AFCON

Nigeria, DRC, Ivory Coast nani kuchukua taji la AFCON

Bara la Afrika na dunia nzima linasubiri kuona ‘timu’ mbili zitakazoingia kwenye msururu wa mwisho wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika #AFCON 2023 huku ‘mechi’ mbili kupigwa leo.

Hatimaye ‘timu’ nne leo zinaenda kuamua ni nani atatinga kwenye fainali ambapo Ivory Coast inaingia mzigoni ikiikabili DR Congo, huku Afrika Kusini ikitoana jasho na Nigeria.

Licha ya kuliwinda taji hilo msimu huu  zipo ‘timu’ ambazo zimeshawahi kushinda taji hili mika kadhaa iliyopita ikiwemo Afrika Kusini mwaka 1996 , Nigeria mwaka 1980,1994, 2013, DRC Cong mwaka 1968 na 1978 na wenyeji wa mchezo Ivory Coast akichukua mwaka 1992.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags