Nhlanhla Mafu afunguka kupata tatizo la kutosikia

Nhlanhla Mafu afunguka kupata tatizo la kutosikia

Muimbaji wakundi la #Mafikizolo kutoka nchini Afrika kusini #NhlanhlaMafu amefunguka sababu ya kutosikia kwa muda mrefu kumetokana na kuwa kwenye muziki kwa zadi ya miaka 26, huku akiskiliza makelele ya muziki kwa muda mrefu.

Kupitia interview aliyoifanya nchini Afrika kusini #NhlanhlaMafu   anasema kuwa.

“Unaweza kufikiria ni kwa muda gani nimeweza kusikiliza muziki wenye sauti nyingi tena za tofauti kama asilimia sabini, nikiwa na record, nasafiri nikisikiliza muziki au niwe na tumbuiza kiujumla kila kinachonizunguka kina sauti ya juu nadhani hicho ndicho kilianzisha tatizo la kutosikia”

Kutokana na sababu hizo  #NhlanhlaMafu anaeleza hali iliendelea kuwa mbaya hadi alipo baini tatizo lake nikubwa sana, hadi kufikia mwanamuziki #TheoKgosinkwe kutoka katika kundi lao kumsaidia kufanya interview zake mbalimbali.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags