Ngoma za Chino Kidd za kimbiza South Africa

Ngoma za Chino Kidd za kimbiza South Africa

Msanii wa kizazi kipya #ChinoKidd wakumuita Chino Wana Man ameweka wazi hisia zake kwa kujivunia kwa kile anacho kifanya kwenda mbali zaidi tofauti na alivyo fikiria hapo awali.

Hivi karibuni Chino na Fid Q walionekana wapo studio kwajili ya ngoma yao mpya ya #Amapiano ambayo itatoka soon, Chino anatarajia wimbo huo utapata matokeo makubwa kama nyimbo zake za awali. Katika ukurasa wake wa #Instagram ameandika,

 “My brother @therealfidq mimi ndio mdogo wako pekee msanii halafu dancer ambaye nimefanya amapiano hapahapa kwa production ya hapa bongo, lakini inapigwa katika redio zote kubwa za South Africa na Tv kubwa zote pamoja na nchi mbalimbali”

Akamalizi kwa kusema “so naamini hii project yetu kaka angu itafika mbali zaidi ya hapa nilipoishia kwa uwezo wa Mungu na upendo wa mashabiki zetu wote mimi naona Jumatano itoke kama ukipendekeza hilo”

Dondosha comment yako unafikiria mwanetu Chino yeye ndio atashikilia Amapiano kwa hapa Tz!!???






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags