Ndala kuamua fainali ya klabu bingwa Afrika

Ndala kuamua fainali ya klabu bingwa Afrika

Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF), limemteua mwamuzi Jean Jacques Ndala kutoka nchini Congo, kusimamia mchezo wa mkondo wa pili wa Fainali ya ‘klabu’ bingwa Afrika kati ya ‘klabu’ ya #AlAhly na #EsTunis.

Kwa upande wa VAR imeteuliwa mwamuzi kutoka nchini #Algeria, Lahlou Benbraham kusimamia katika ‘mechi’ hiyo.

Mchezo huo wa marudiano ya fainali ‘CAF Champions League’ ambao utaamua nani atanyakua ubingwa huo kati ya ‘timu’ hizo mbili unatarajia kuchezwa nchini Misri Mei 25, 2024.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post