Navy Kenzo wanajambo lao

Navy Kenzo wanajambo lao

Kundi maarufu la miziki nchini Tanzania Navy kenzo @Navykenzoofficial baada ya ukimya wa muda mrefu wametangaza ujio wa albam yao mpya.

Albam hiyo wameipa jina la Dread and love ambayo wanatarajia kuiachia hivi karibuni.

Aika @aikanavykenzo ambaye ni mmoja wa kundi hilo ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa instragram ambapo aliandika

“How to get true love 1: There’s no formula But may be our Dread&Love album will give u hits. Stay tune,” aliandika Mwanadada huyo

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags