Nape: Mwanasiasa akitoa lugha ya matusi jukwaani usiripoti taarifa yake

Nape: Mwanasiasa akitoa lugha ya matusi jukwaani usiripoti taarifa yake

Taarifa rasmi kutoka kwa Waziri  wa Habari, mawasiliano  na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, ametoa tamko hilo wakati akielezea uamuzi wa Rais Samia Suluhu kuruhusu Mikutano ya Kisiasa

Amesema “Ni matumaini yangu Wanahabari wa Tanzania  watabalansi stori za Mikutano hiyo, kwani tukibeba hivihivi tutawapeleka Watu kusiko. Na siyo kubalansi tu wakati mwingine una sababu gani ya kuchapisha Matusi, mwache atoe matusi wewe ondoka zako.”

Aidha amesema  “Usirekodi kila kitu, siyo kila kitu ni stori, wito wangu kwa Wanahabari Uhuru uliotolewa utumike vizuri. Kama ni kukosoa tukosoe kwa ukweli ili tujenge Nchi.”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags