Nandy na Yammi kuja na ngoma ya pamoja

Nandy na Yammi kuja na ngoma ya pamoja

Mwanamuziki wa #Bongofleva nchini Nandy na msanii wake Yammi wanatarajia kuachia ngoma ya pamoja, hii ni baada ya ku-share tarehe rasmi ya kutoa wimbo huo ambayo ni Mei 22, 2024.

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Nandy ame-share video akiwa na Yammi ikiashilia kuwa wawili hao wanajambo kubwa wanalotaka kulifanya, huku mashabiki wakisubiri kwa hamu kushuhudia wimbo kutoka kwa Bosi na msanii wake.

Huu utakuwa wimbo wa kwanza kwa Nandy na msanii wake Yammi toka alivyomtambulisha kwenye ‘lebo’ yake ya ‘The African Princess’ mwaka 2023.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags