Nandy,  Afunguka ujauzito wake kwa Billnasi

Nandy, Afunguka ujauzito wake kwa Billnasi

Aiseee baada ya kuzuka minong’ono mingi sana huko mitandaoni kuhusiana na kile ambacho kinadhaniwa kuwa Msanii wa bongo fleva The African Princess Nandy  kuwa ni mjamzito.

Hatiamye Nandy amevunja ukimya kuhusu taarifa  hizo za kuwa na ujauzito wa Billnass kwa kusema kwamba kama kweli angekuwa mjamzito watu wangeona kwa sababu tumbo halijifichi.Aidha Nandy amenyoosha maelezo juu ya harusi yao ambayo anasema itakuwa ni harusi kubwa.


Comments 1


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post