Nancy Sumari ahitimu masomo London

Nancy Sumari ahitimu masomo London

Aliyewahi kuwa miss Tanzania 2005 #NancySumari, ameweka wazi kumaliza masomo yake nchini London.

Nancy amehitimu masters ya Education Economics and International Development, kwenye chuo cha Univesity College London.

Licha ya wengi kumfahamu kupitia shindano la ma-miss, Nancy bado ameendelea kuishi masikioni mwa watu kutokana na jila lake kutajwa kila kukicha na wasanii wa #BongoFleva kwenye nyimbo






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags