Naira Marley na Sama waswekwa rumande siku 21, Kifo cha Mohbad

Naira Marley na Sama waswekwa rumande siku 21, Kifo cha Mohbad

Kufuatia uchunguzi unaoendelea wa kifo cha MohBad, taarifa mpya zinaeleza kuwa ‘rapa’ Naira Marley na ‘promota’ wake Sam Larry wameamriwa kukaa rumande kwa muda wa siku 21 huku uchunguzi huo ukiendelea.

Wawili hao walikamatwa na ‘polisi’ mara tu baada ya kufika nchini Nigeria kutokana na kuhusishwa na kifo cha mwanamuziki MohBad, ambapo polisi wameeleza kuwa nia ya kuwalaza rumande kwa ni kwa sababu ya mahojiano zaidi na usalama wao pia.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags