Naira adai kurudi Nigeria akihakikishiwa usalama wa maisha yake

Naira adai kurudi Nigeria akihakikishiwa usalama wa maisha yake

Baada ya msanii kutoka nchini Nigeria, Naira Marley kushutumiwa kuhusika na kifo cha msanii mwenzie MohBad na wananchi kutoka nchini humo, msanii huyo ameweka wazi kuwa yupo tayari kurudi katika taifa ilo endapo polisi watahitaji kufanya naye mahojiano kwa sharti moja la kuhakikishiwa usalama wake.

Kupitia mahojiano yake na mfanyabiashara kutoka nchini humo Reno Omokri kupitia zoom Naira ikiwa ni mahojiano yake ya kwanza tangu kifo cha msanii huyo kutokea ameeleza kuwa kama polisi watamuhitaji arudi kwa ajili ya mahojiano basi atarudi kama watamuhakikishia usalama wa maisha yake kwanza.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags