Mwili wa mwanamuziki King Kikii ukiwasili viwanja vya Leaders Club

Mwili wa mwanamuziki King Kikii ukiwasili viwanja vya Leaders Club

King Kikii ambaye alifariki dunia usiku wa kuamkia Novemba 15,2024, nyumbani kwake Mtoni Kwa Aziz Ally jijini Dar es Salaam kwa ugonjwa wa saratani ya ini. Mwili wake unaagwa leo Novemba 18,2024 katika viwanja hivyo na kisha kupumzishwa kwenye makaburi ya Kinondoni.

Ratiba ya msiba

Saa 5 mpaka saa 6 mchana
Mwili wa marehemu utapelekwa
kuelekea Leaders

Saa 6 mpaka saa 8 mchana
Ibada na kuaga mwili
Saa 8:00 mpaka saa 8:20 mchana

Wasifu wa marehemu
Saa 8:20 mpaka saa 9.30 mchana
Salamu za rambirambi

Saa 9:30 mpaka saa 10 mchana
Msafara kuelekea makaburini kwa ajili ya
ya maziko

Saa 10 jioni
Mazishi makaburini Kinondoni

King Kikii alizaliwa mwaka 1947, enzi za uhai wake alitamba na vibao vingi ikiwemo kile maarufu cha 'Kitambaa Cheupe'.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Christina Lucas


Latest Post

Latest Tags