Mwijaku; Amini katika uwezo wako

Mwijaku; Amini katika uwezo wako

Waja waja nawaita mara tatu mmemfanya nini Dc wa Instagram Mwijaku maana sio kawaida yake kuongea maneno konki  ambapo mpaka mashabiki zake wamempongeza kwa ujumbe huo mzuri.

Aidha kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram Mwijaku alifunguka na kueleza kuwa “amini katika uwezo wakona utumie uwezo huo, usione fulani kufanya kawa Mc, Comedian, ameolewa basi nawewe ufanye hivyo alivyo vifanya yeye ukajua nawewe kwa upande wako ndo itakuwa sababu yawewe kupata mafanikio” amesema Mwijaku

Aliendelea kwa kusema  “tafuta target yawewe kufanikiwa usibabaishwe na kelele za watu maana binadamu ni mabingwa wa kukatisha watu tamaa, waja wasikufanye ukafanya maamuzi ya kukurupuka suburi wakati wa Mungu’’ amesema Mwijaku

Bwana weee! Dc wa insta ameongea mimi ni nani nipinge, dondosha koment yako hapo chini mtu wangu wa nguvu je unakubaliana na Mwijaku?






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags