Mwanamitindo Aoki azua gumzo kuzidiwa miaka 44 na mpenzi wake

Mwanamitindo Aoki azua gumzo kuzidiwa miaka 44 na mpenzi wake

Mwanamitindo mwenye umri wa miaka 21 kutoka nchini Marekani #AokiLee amekuwa gumzo katika mtandao wa X siku ya Jana, baada ya picha zake kusambaa akiwa na mpenzi wake mwenye umri wa miaka 65 aliyefahamika kwa jina la #VittorioAssaf.

Kwa mujibu wa Jarida la The People limeeleza kuwa mwanamitindo huyo aliyezaliwa mwaka 2002 ‘aliposti’ picha zake kupitia mtandao huo akiwa na mzee huyo bila hata kujali umri wake.

Hata hivyo picha hizo zilizowaonesha wawili hao wakiwa pamoja ‘wanakisi’ zimeleta maswali mengi kwa watu huku wengine wakidai kuwa niajabu Aoki kuwa na mwanaume mwenye umri sawa na baba yake
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags