Muna: Watu waache kwenda na upepo wa marehemu, Wanalia kuliko familia

Muna: Watu waache kwenda na upepo wa marehemu, Wanalia kuliko familia

Mwanadada Muna Love ametupa dongo kwa baadhi ya waombolezaji wa msiba wa Hitham wanaoendelea ku-post kwenye mitandao ya kijamii wakati kipindi mwanamuziki huyo akiwa hospitali hawakwenda kumfaliji yeye na familia yake.
 
Muna anadai kuwa watu hao wanalia kuliko familia akaongezea kwa mkumuomba Mungu aweze kuwaepusha watu na tabia hiyo badala yake wawe na upendo wa kweli, na sio kwenda na trend ya msiba.
 
Ikumbuwe kuwa siyo Muna pekeyake aliyetoa maneno ya kwa watu tangu kitokee kifo cha mwanamuziki huyo kwani mwanzo kabisa alianza Mwijaku kutoa maneno kwa wasanii.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags