Mume wa Zari aomba pambano na Harmonize

Mume wa Zari aomba pambano na Harmonize

Mume wa mfanyabiashara Zari, Shakib Lutaaya ameomba kuzichapa na mwanamuziki wa #Bongofleva nchini Harmonize, hii ni baada ya Konde kupitia instastory yake kudai kuwa ameamua ku-forcus kwenye ngumi.

Kupitia instastory ya Harmonize ame-share chat zake na Shakib akiomba pambano na mwanamuziki huyo, ambapo Harmo alimjibu kwa kumtaka Shakib akaangalie alivyozipiga na bondia Hassan Mwakinyo labda anaweza kubadili maamuzi.

Hata hivyo Konde amemtaka Zari aongee na mumewe maana anajaribu kucheza na kifo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags