Muhula mpya wa masomo waanza bila wanafunzi wa kike vyuo

Muhula mpya wa masomo waanza bila wanafunzi wa kike vyuo

Miezi 3 tangu Serikali ya Taliban itoe zuio kwa Wanafunzi wa Kike kusoma Vyuo Vikuu, utekelezaji umeanza baada ya kuanza muhula mpya wa masomo huku Wanawake wakitakiwa kutofika madarasani

Aidha kuanzia Machi 6, 2023, Wanafunzi wa Kiume pekee wameanza kurejea Vyuoni licha ya Mashirika ya Kimataifa kushinikiza Utawala mpya kutovunja Haki hiyo Muhimu kwa Wanawake lakini hakuna kilichobadlika.

Hata hivyo baadhi ya Vyuo Vikuu vinajaribu kuweka utaratibu wa kuingia Madarasani kwa kuwatenga Wanafunzi wa Kike na wa Kiume au kuruhusu Wanawake kufundishwa na Maprofesa wa Kike au Wanaume wazee pekee.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags