Muanzilishi wa kampuni ya bunduki afariki

Muanzilishi wa kampuni ya bunduki afariki

Aliyekuwa mfanyabiashara na muanzilishi wa kampuni ya utengenezaji wa bunduki mwenye umri wa miaka 94 kutoka nchini #Austria, Gaston Glock amefariki dunia jana Jumatano, Disemba 27.

Glock alianzisha kampuni ya kutengeneza silaha hizo mwaka 1963 katika kijiji cha Deutsch-Wagram kilichopo nchini humo na hadi sasa kampuni hiyo imeendelea kufahamika ulimwenguni.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags