Mtoto wa Nandy mikononi mwa Zuchu, Ammwagia sifa, Adai atapata wakiume,

Mtoto wa Nandy mikononi mwa Zuchu, Ammwagia sifa, Adai atapata wakiume,

Tangu mtoto wa mwanamuziki Nandy na Billnass kuwekwa hadharani siku ya birthday yake ameonekana kupendwa na watu wengi kuanzia kwenye mitandao ya kijamii hadi watu maarufu nchini.

Kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii wa mtoto huyo ameweza kupata wafuasi wengi ndani ya muda mchache, awamu hii ameonekana akiwa amebebwa na Shilole na baadaye kubebwa na nyota wa muziki Tanzania Zuchu.

Zuchu alimwagia sifa kibao mtoto huyo na kuweka utani wa kudai kuwa mtoto huyo atakuja kuwa mkwe wake kwani naye anatarajia atapata mtoto wa kiume.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags