Mtoto wa kwanza kuzaliwa apewa jina la Mbappe

Mtoto wa kwanza kuzaliwa apewa jina la Mbappe

Mtoto wa kwanza kuzaliwa mwaka 2024 nchini Hispania amepewa jina la mchezaji wa ‘klabu’ ya #PSG, #KylianMbappe.

Wazazi wa mtoto huyo wajulikanao kama Fran Barreiro na Jenny Gallego, wamempa jina la ‘Kylian’ mtoto wao kama heshima kwa mchezaji huyo mkubwa nchini humo, kutokana na baba yake kuwa shabiki kindaki ndaki wa #Mbappe.

Aidha mtoto huyo anatajwa kuwa wa kwanza kuzaliwa kwa mwaka 2024 nchini Hispania katika hospitali ya Alvaro Cunqueiro ambapo alizaliwa Januari 1 akiwa na uzito wa kilo 3.45.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags