Mtoto wa Kanye aingia kwenye chati za Billiboard 100

Mtoto wa Kanye aingia kwenye chati za Billiboard 100

Mtoto wa ‘rapa’ Kanye West, North West amefanikiwa kuingia kwa mara ya kwanza kwenye chati za Billboard 100, kufuatiwa na ngoma aliyoshirikishwa na Baba yake ya ‘Talking’ na kumfanya kuwa miongoni mwa wasanii wenye umri mdogo zaidi kuwahi kuingia katika chati hizo.

Wimbo wa ‘Talking’ mpaka kufikia sasa unazaidi ya watazamaji milioni 14 kupitia mtandao wa #YouTube, huku kwa upande wa #Billboard ngoma hiyo ikishika nafasi ya 30 katika chati hizo.

Kanye alifanikiwa kupata mtoto huyo na aliyekuwa mpenzi wake mfanyabiashara #KimKardashian ambapo mpaka kufikia sasa Binti huyo ana umri wa miaka 10.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags