Msanii Dababy ashtakiwa

Msanii Dababy ashtakiwa

Moja ya story kubwa huko mitandaoni ni hii ya msanii wa muziki Dababy kuripotiwa kushtakiwa.

Kwa mujibu wa ripoti, Brandon Bills ambaye ni kaka yake na Danileigh anamshtaki DaBaby baada ya kupigana hivi karibuni kwenye ukumbi wa michezo ya Bowling Alley.

Brandon anadai hakujitetea na kwamba DaBaby alimshambulia na kumwacha akiwa na maumivu makali kitendo ambacho kilepelekea Brandon kupata majeraha pamoja na matatizo ya kisaikolojia.

Kama ufahamu Danileigh ni baby mama wa zamani wa Rapa Dababy.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm


Latest Post

Latest Tags