Mrembo Nai sasa rasmi ni mama

Mrembo Nai sasa rasmi ni mama

Upepo wa mwaka 2022 na 2023 umeonekana kuwa na baraka kwa baadhi ya wanawake maarufu  Tanzania, kutokana na wengi wao kupata watoto kwa mara ya kwanza, huku baadhi yao wakificha taarifa za ujauzito na kuwashitukiza mashabiki kwa kuwaonesha watoto baada ya kujifungua.

Upepo huo pia umempitia  mrembo Nai Official, kwa mara ya kwanza ameitwa mama japo kuwa hajaweka wazi  jinsia ya mtoto wake.

 #Nai amewashangaza wengi baada ya kutupia picha za mtoto wake kwenye ukurasa wake wa #Instagram huku akiwaachia wengi na hamu ya kutaka kumfahamu baba wa mtoto huyo?

Unahisi nani atakuwa baba wa mtoto wa Nai? 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags