Mrembo akatiza barabarani akigawa pesa

Mrembo akatiza barabarani akigawa pesa

Mwanadada mfanyabiashara wa nywele za bandia kutoka nchini Nigeria aamua kukatiza barabarani kutoa zawadi ya pesa kwa vijana waliyokuwepo pembezoni mwa barabara hiyo.

Mrembo huyo ameeleza kuwa ameamua kugawa 500 Naira kwa vijana hao ili waweze kupata chakula na kufurahia weekend yao.

Kutokana na tukio hilo baadhi ya watu kutoka nchini humo wamekuwa wakilalamika na kudai kuwa kama alitaka kutoa msaada ilimbidi asimamishe gari na sio kugawa pesa huku gari linatembea jambo lililofanya vijana hao wapate shida kupokea pesa hizo.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags