Mrema kuzikwa agosti 25, Moshi

Mrema kuzikwa agosti 25, Moshi

kwa taarifa zilizo tufikia hivi punde ni kwamba aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Augustino Mrema anatarajiwa kuzikwa Alhamisi Agosti 25 katika kijiji cha Kilalacha mkoani Kilimanjaro

Maziko hayo yatatanguliwa na ibada ya mazishi siku ya Jumatano itakayofanyika katika kanisa Katoliki Parokia ya Salasala kabla ya kusafirishwa kwenda mkoani Kilimanjaro.

yamesemwa hayo leo na mwanaye, Michael Mrema wakati akitoa ratiba ya msiba wa baba yake

Mrema aliyefariki dunia jana Jumapili, ya agosti 21 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags