Mpiga picha wa Davido Afariki Dunia

Mpiga picha wa Davido Afariki Dunia

Aliyekuwa mpiga picha wa Davido, Fortunate Umunname  Peter a.k.a Fortune Amefariki Dunia.

Kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo vinaeleza kuwa kifo chake kimetokana na Kuzama kwenye Maji yaani Mtoni (lekki, lagos state).

Hata hivyo Fortune aliwahi kufanya kazi na Mastaa mbalimbali nchini humo akiwemo Patorankingfire ,Zlatan-ibile, Nairamarley na wengine wengi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags