Moto umewaka Ex wa Quavo auvaa ugomvi

Moto umewaka Ex wa Quavo auvaa ugomvi

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Saweetie ameanika text zote za ‘rapa’ Quavo kupitia mitandao ya kijamii, hii ni baada ya Quavo kumtaja mwanadada huyo kwenye ngoma yake mpya aliyomchana Chris Brown.

Saweetie ameshare text hizo akimtaka ‘rapa’ huyo ampumzishe kidogo kwani hata huwa hajibu text zake toka mwezi Januari.

Bifu la Quavo, Chris Brown na Saweetie linakuja baada ya Brown kutoa ngoma wikiend hii akimcha Quavo kuwa hata kama alilala na mpenzi wake wa zamani ambaye ni Karrueche Tran na yeye pia alilala na Ex wake Saweetie wakati bado wako pamoja.

Quavo na ChrisBrown wapo katika bifu toka mwaka 2017 baada ya Quavo kudaiwa kutoka kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wa #ChrisBrown Karrueche Tran.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi








Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags