Mo Dewji: Mbona mpira ulitoka nje

Mo Dewji: Mbona mpira ulitoka nje

 Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwekezaji wa ‘klabu’ ya Simba SC, Mo Dewji ameonekana kuhoji kuwa mpira uliyofunga  bao la kwanza Simba ulikuwa umetoka nje.

Bao la kwanza la Power Dynamos ambalo mlinzi Henock Inonga alijifunga lilitokana na ‘krosi’ ya winga Joshua Mutale. Hata hivyo kabla ya kupiga ‘krosi’ hiyo mpira ulionekana kama umetoka hali iliyopelekea tajiri Mo kuhoji.

Hiyo ni kufuatiwa na ‘mechi’ ya jana Simba dhidi ya Power Dynamos , ambapo ‘mechi’ hiyo iliisha kwa suluhu ya mabao 2-2

 Mo ameandika , “Dah mbona mpira ulitoka nje. Hatari”.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post