Mo Dewji awaomba wanasimba kuwaamini viongozi

Mo Dewji awaomba wanasimba kuwaamini viongozi

Rais wa ‘klabu’ ya Simba Mohammed Dewji amewataka mashabiki wa ‘klabu’ hiyo kuwa na imani na viongozi waliochaguliwa.

Mo amewaomba Wanasimba kutulia, kuwaamini viongozi na tuendelee kufika uwanjani kuishabikia Simba.

Hii inakuja baada ya mashabiki wa ‘klabu’ ya Simba kutaka uongozi uliopo madarakani kuondolewa baada ya kipigo cha bao 5-1 dhidi ya watani wao Yanga.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags