Mke wa nyota wa soka afunguka mume wake kumsaliti

Mke wa nyota wa soka afunguka mume wake kumsaliti

Mbunifu wa mitindo na mwimbaji kutokea nchini Uingereza Victoria Beckham amefunguka na kudai mume wake Davidi hakuwa mwaminifu wakati alipokuwa akiichezea Real Madrid mwaka 2003.

Anameleza kuwa kilikuwa ni kipindi kigumu kwenye ndoa yake na nyota huyo wa zamani wa soka.

Victoria Beckham amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu madai ya mumewe David kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msaidizi wake wa zamani Rebecca Loos, akisema kuwa ilikuwa ni jambo lisilo la furaha ambalo amewahi kuwa nalo katika maisha yake yote.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags