Baada ya kufunga ndoa siku ya Jumapili, Januari 7, mke wa mchezaji kutoka ‘klabu’ ya #Alnassr #SaidoMane, #AishaTamba amerudi tena katika shule ya 'Cabis' iliyopo nchini Senegal kuendelea na masomo ikiwa ni siku moja tu baada ya ndoa kufungwa na kupokelewa kwa shangwe na wanafunzi wenzie.
.
.
#mwananchiscoop
#burudikanasi

Leave a Reply