Mjengo wa Madonna wauzwa bilioni 66

Mjengo Wa Madonna Wauzwa Bilioni 66

Unaambiwa huko mitandaoni gumzo ni kuuzwa kwa nyumba ya kifahari ya msanii Madonna ambayo imetangazwa kuuzwa kwa Sh. Bilioni 66.

Hilo jumba la Kifahari la zamani la Madonna unaambiwa tayari limeshauzwa kiasi hicho cha fedha na kuripotiwa kuwa hapo awali msanii huyo aliinunua nyumba hiyo kwa Sh. Bilioni 11.2.

Najua msomaji wetu utakuwa na maswali mengi ya kujiuliza katika hili basi sisi tunaomba utuambie unadhani ni nyumba ya msanii ngapi hapa bongo inawezwa kuuzwa kwa kiasi kikubwa cha fedha.

Dondosha comment yako hapo chini.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Janeth Jovin

A writer, reporter, presenter and news anchor for Mwananchi Scoop. Her writings are based on business, money management on Tuesday and health on Thursday on Mwananchi Scoop. Her famous segments on Mwananchi Scoop include KARIA and FASHION.


Latest Post